taarifa hiyo ilisema kuwa ongezeko la joto la maji juu ya wastani katikati ya bahari ya UNK inaashiria kuwepo kwa mvua za el nino UNK hadi mwishoni mwa april ishirini moja sifuri imeelezwa kuwa ongezeko la joto magharibi mwa bahari ya hindi linatarajiwa kuhamia katikati ya bahari hiyo hali ambayo itasababisha pepo kutoka kaskazini mashariki kuvuma kuelekea bahari ya hindi 
 aidha ilisema kuwa mwelekeo wa kupungua kwa joto kusini mashariki mwa bahari ya atlantic UNK kusababisha pepo kutoka magharibi kuvuma kuelekea magharibi mwa tanzania katika maeneo ya ziwa victoria 
 mwelekeo wa mvua wa septemba hadi desemba ishirini sifuri tisa unatarajiwa kuwa katika namna tofauti ambapo baadhi ya maeneo yanaweza kunufaika huku mengine UNK 
 ilifafanua kuwa msimu wa vuli UNK maeneo ambayo hupata mvua mara mbili ambayo ni kaskazini mwa nchi ikiwa ni nyanda za juu kaskazini mashariki kanda ya ziwa victoria na pwani ya kaskazini 
 katika maeneo hayo mvua zinatarajiwa kunyesha wiki ya pili na tatu ya septemba mwaka huu